Yaw yaw
Jeshii Lalalilaa mmh lalalaa Chiiii Eeh Ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu Na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu Eti kwani wao waweze wana nini (Mmmh) na mimi nishindwe nina nini Nishachoka siku zote kuwa wa chini wengine wanakula kipupwe ma ofisini Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa mliosema hapewi hapewi mbona amepewa mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu (dear lord) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakuna) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakuna) Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu Na wale waliosema mimi ni mguma waje wamuone mwanangu Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni Wanaokufata wakati wa shida ili wapate hafueni Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza Nami nipande dau niwasalimu kingereza When God say yes nobody can say no (When God say yes nobody can say no) When God say yes nobody can say no (When God say yes nobody can say no) Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa mliosema hapewi hapewi mbona amepewa mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu (dear lord) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakuna) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakunaSunday, January 23, 2022
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment